
Bida msanii anae tatanisha wa miondoko ya kughani, aamua kuweka mambo hadharani kwa mara ya kwanza mtandaoni. Ameongelea juu ya kibao chake kinacho pendwa na wengi ‘Urafiki wautata – fake friendship’ nakuelezea kwanini kina gonga nyoyo za ma mia kwa mamia kila siku Duniani mbali ya kuwa kimepigwa katika lugha moja tu ya Kiswahili. Sio tu Biti murua ilio udwa na produza mari kutoka KzzProduction kwa Ziggy-Lah.
Amesema kuwa ni kwasababu ni kibao pekeee Duniani nzima kilicho changanya kwa kuchanganua normal streets life na kuwagusa wana – internet Social , kwa kuwaweka bayana juu ya huu ‘U Anti-Social Behaviour’.. Akiendelea kufoka , amesema kuwa alijikuta akiwa katuka hali ngum sana ya huu urafiki wa masafa, urafiki wa kwenye picha na pia urafiki wa kujificha. Ndipo alipo amua kuchukua lawama zote na kuwa taadharisha watu kuwa makini na urafiki wa kwenye inter-net. Najua-.Mi mwenyewe nna marafiki elfu kwa maelf kwenye social net work- alisema.
Pia aliongeza kusema kuwa unachotakiwa kuzingatia ni mtandao gani unao chukua hao marafiki zako, na je ? huo mtandao upo chini ya uongozi mzuri kama Babkubwa.com, Bongo5.com, Eastafricantube.com etc. au ni hii mitandao ya chumbani inayo operetiwa ki hunihuni na mashine bila kuwa na sense of humour wala kua na wahusika kamili na kuweza kukuletea matatizo.
Bida anaendelea kwa kusema mbali yakua anapokea ofa mbali mbali za kufanya Remix ya ‘Urafiki wa Utata’ kwa lugha mbali mbali in collaboration na wana muziki wengine, amegoma na kusisitiza anataka ‘kuhakikisha ujumbe umefika kwa watuwake kwanza na wote wapo safe kabla ya kuwashtua maadui’
Bida pia alitumia fursa hii kuvitambilisha vibao vyake vipywa viwili ‘Nice Rose’ na ‘Hiphop-Para’ kuwa ni saini ya positive approach kuelekea kwenye kuikamilisha album ya ‘KamaKazi’ ambayo anasema imesheheni nyimbo zote kali, zote ni real hip-hop,zote nzuri na amesisitiza kusema ‘hazija banwa pua humu!
Hivi sasa yupo studio kukamilisha track za mwisho mwisho ambazo hakutaka kusema ni ngapi, ila alikuwa huru kuvi ongela kuwa kuna ..’Ma- MCz’ Track ambayo anasema ni Dongo la kufa mtu, lililoko kwenye mirindimo ya kuchant kwa asira juu ya maisha yake alipo kuwa jela, ‘Ndugu Wananchi’ Track – utambulisho wake kama kiongozi bora, Siku-sikii, Wakwetu Hao, Nipe Mic N.k
Usia wangu kwa wana Social-Network wote ni kwamba, msiingie ki kichwa kichwa kwenye mitandao ili mradi mtandao tu kisa umemkuta flani humo au unaongea lugha yao, au kwa kuwa una taka kupata kitufulani haraka haraka ndio ukimbilie ku sign in,
Bila kuzingatia maswali unayo yajaza mengine niYa-kiresist ‘kwamaana ni kama unaomba uraia vile’ wa kuingia nchi ya Mtandao flani. Mtumie barua muhusika ukipata jibu la barua pepe inayo ashiria imejibiwa kulingana na matakwa yako na roo yako kuridhika then oky’ ‘umesahau? ‘No hurry in Africa’
Still Bida
aka The last messiah
ov TheMandelazClic
www.myspace.com/themandelazclick
Hisia zote na ukarimu vimeifadhiwa humu@.2009