Bab Kubwa

Bab Kubwa Media

Wachumba, wapenzi na watundu

Information

Wachumba, wapenzi na watundu

Members: 66
Latest Activity: Nov 12

Discussion Forum

garison

love will never dies

Started by garison Sep 25.

Zulekha

Watundu's, marafiki's na wachumba 4 Replies

Started by Zulekha. Last reply by Kamua Twende Sep 22.

baraka

ebwanaeeeeeeeeeeeee 3 Replies

Started by baraka. Last reply by Flavia O Mgesi Sep 20.

Comment Wall (106 comments)

Add a Comment

You need to be a member of Wachumba, wapenzi na watundu to add comments!

106 Comments

ali Comment by ali on October 30, 2009 at 1:46pm
Tembelea tovuti ya Bongofree Multimedia Community uangalie videos, sikiliza muziki, soma habari, weka picha, weka videos, tafuta marafiki, tuma matangazo bure, tuma habari zako, vile vile pata habari zingine motomoto na mengineyo.
www.bongofree.net
reuben wilfred Comment by reuben wilfred on October 6, 2009 at 11:24am
duuuuuuuuh!!
Joseph Richard Rusisye Comment by Joseph Richard Rusisye on September 22, 2009 at 1:18pm
Na mi nimo
garison Comment by garison on August 21, 2009 at 12:32pm
Mwanatheolojia mmoja mahiri, Arthur Schoppenhaner, aliyeishi kati ya mwaka 1788 – 1860 baada ya Kristo [BK], anamwelezea mwanamke kwa ukakamavu bila aibu kwa kusema, “Ukitazama tumbo la mwanamke, utaelewa sawia kwamba hafai kwa kazi yoyote ya maana, iwe ya kiroho [uinjilisti], kwa maumbile na mwili, mwanamke anafaa kwa kazi pekee ya kusafisha nyumba na kulea watoto, kwani yeye daima ni mpungukiwa mwenye fikra sawa na mtoto; kwa kifupi, mwanamke ni mtoto mkubwa maisha yake yote; ni kiumbe mwenye akili iliyo kati ya akili ya mtoto na akili ya mwanaume ambaye ndiye binadamu wa kweli”. Je hi ni sawa kwenye karne ya 21?
Glory Glory Comment by Glory Glory on August 13, 2009 at 7:29pm
Kuhusu ushoga na usagaji , sipendi sana kulaani maana sijui unatokana na nini, wanazaliwa hivyo au ni fashion tuu?
Glory Glory Comment by Glory Glory on August 13, 2009 at 7:25pm
Mhh Michael Carter, ndio mapenzi hayo, mpaka password zote, mbona mimi hakuna aliyewahi nipa passwords jamani, yaani nimecheka kweli kweli lkn ndio inatakiwa hivyo maana huna cha kuficha, lol! Ila ameitumia situation vibaya, nafikiri bado mdogo.
pablo Comment by pablo on July 23, 2009 at 7:11pm
Habari ya leo tena mr katikiro hope mzima
kama mimi nashukuru sana kwa moni yako mazuri

Ujani nikela kwa lolote coz ata mimi ni mkiristo
pamoja kuna bathi ya viongozi wetu wa dini
mambo wanayo fanya ayaendani na vitabu vya mola wetu
cha msingi ni kuombeana mema coz kweli maisha yame change serious

kama ulivyo sema ni kweli kabisa kaka katikiro mimi sina cha kusema sana
ila tuzidi kusali sana tuwache udini, na ubaguzi namimi tutafika kwa mumba wetu powa siku njema
asante sana ..ila mbona sioni mad zako mkubwa?
Katikiro Mujaya Comment by Katikiro Mujaya on July 22, 2009 at 6:27am
Nashukuru kaka, kwa ku-respond
Habari lakini? Mzima?
wenzetu wanasemaje huko?

Pole kwa kuwa busy, lakini mi nadhani kuwa hivyo ni vizuri, japo pia kuna muda wa kupumzika....au sio kaka?

Eh! Nimekuwa Speechless kaka, niliposikia hivyo niliumia sana, lakini pia nikaamini wakati umefika, siku za mwisho ndo hizi. Samahani kaka mimi ni mkriso sorry kama nitakukwaza kwa maneno yangu. Biblia imetamka bayana kwamba hivyo si sahihi, wakati huo huo ikampa mwanadamu uchaguzi na kuamua, lakini wakati huo huo tena inamwambia "Ole wake atakaetimiza unabii". Kwahiyo choice yetu ni kutena na kufanya kilicho mapenzi ya Mungu tu!

Hali ndio hiyo kwa sasa. Kila mtu anadhani anahaki na uhuru, wa kufanya ataloweza, huo ni ushenzi. Mungu atatuhukumu Muda ndo utaamua.

Lakini yote yalitabiriwa kaka, na sasa tunayaona.

Sikuhizi kweli hakuna mapenzi. Dah! Hali ni mbaya sana.

Ahsante...
idd Comment by idd on July 21, 2009 at 3:54pm
mx kaka ckuhizi hakuna mapenzi ya kiivyo hata kama yapo kwa wa chache
pablo Comment by pablo on July 21, 2009 at 1:57pm
....Habarai ya leo kaka katikiro
Natumani mzima kabisa
Nashukuru mola ata mimi mizima pamoja na ubusy
Ila ndyio majukumu kaka

Bila samahani kaka ..! Asante sana kwa kunijulisha coz nilikuwa cijuwi mwana jamani sisi watanzania tunakwenda wapi...? jamani
Katikiro kumbuka tulikuwa tuna decation sana haya mambo kama utakumbuka vizuri hila leo yametokeya kweli inatiya uzuni sana

Katikiro kila siku mimi nasema dunia imekuwisha yani siku za mwisho ziko usoni kama kweli awa mashonga na washagaji wameanza kudayi haki isiyo kuwa ya ukweli wowote ata vitabu vya dini vimeandika mambo haya

Kweli shetani anafanya kazi kweli kweli .watanzania tumejaliwa amani kona zote za dunia inajuwa tanzania ndyio kulipo na amani tela je..leo hii.. wakisikiya kuna mambo kama haya..? ya habu sana..!

Katikiro. mimi naomba tuzidi kusali sana tuombea watanzania wetu ili mola atupushe na hii lana ya sodoma, coz mambo ya kuinga utamaduni wa watu na nchi za watu ndiyo sas tunaona faida na hasara zake..sina mengi ya kusema ila kweli nimeuzunika sana coz siamni kama mwanaume na mwanaume wakaowana na mwanamke na mwanamke waowane..!

Wakati binadamu tumeletwa hapa duniani tuongezeka kizazi adi kizazi sas tunaongezekaje kama jinsi moja wakiowana?..nashauri dini sasa ifatileye ili swala coz serikali mambo kama haya aitaweza na asasi za kijami pia ifatiliye swala ili kabisa minamini kutafanikiwa kuondowa hiyo lana ya sodoma kuja hapa tanzania

Kitu kingine jamani watanzania tuwache kuinga mabo ya tamaduni za watu
siyo kila kitu wanachofanya wao ni kizuri kwa jami yetu...cha msingi ni kundeleza tamaduni zetu..kama hilivyo zamani kumbuka nilisha semanga mambo haya zamani wazungu walikuwa wakija kutali africa wanakuja kangaliya tamaduni zetu ila leo hii awaoni kabisa coz kila mtu yuko busy na maisha ya kisasa haya leo hii. tutakumbuka sana mababu zetu..

Mwisho, katika maisha kitu cha msingi kusali, kijituma kwa bidi kujiamini unaweza kufanya kazi na kuwa na doto ya kufanya kitu fulani mimi na mini unafanikiwa tu, coz watu wote tumefalia nguo hapa dunaiani na tutaacha hapa.,..kinachofanya watu kufaanya mambo haya ya ajabu, na haibu ni tama za dunia watu awataki subira wanataka mambo ya haraka sasa leo hii, ndiyo tunaona mambo kama aya ya haibu nbelea ya mola na dunia yetu..let me end here coz am very sad to her dat news mr, katikiro well, stay peace my bro. bless have nice day
 

Members (66)

solo nganje Glory Bab Kubwa Media michuzi Flavia O Mgesi Zulekha garison Bab Kubwa News xslim Kamua Twende zennohk baraka Mary Flojoma maglunacy valentino sam kabara idd hafsa mbamba Martha Emmanuel Malema SoloThang AhmaD Musa Kitonge ricky Rachel Alex Che Jamal kelvin hezron Mohamed kili
 
 

About

Bab Kubwa Media Bab Kubwa Media created this social network on Ning.

Create your own social network!

Tovuti bora. Sikiliza mziki wa Bongo popote Ulipo. Pata ladha ya Bongo. Chat, Photos, Videos & The latest and greatest Bongo Flava. Enjoy!



Forum

Said de Markson

UNDUGU MUHIMU

Started by Said de Markson in General Nov 6.

Ummussalaam

Who Cheats More? Men or Women 5 Replies

Started by Ummussalaam in General. Last reply by Linc Nov 6.

john bart

what a man got to do now:? 5 Replies

Started by john bart in General. Last reply by sarah ibrahim Oct 29.

KAKANANII

ETI JAMANI KWANINI BONGO HAIENDELEI 8 Replies

Started by KAKANANII in General. Last reply by ladonll Oct 24.

raul

mke wa mtu mtamu! 2 Replies

Started by raul in General. Last reply by ladonll Oct 24.

raul

mama wa kambo 1 4 Replies

Started by raul in General. Last reply by jojo Oct 17.

Zulekha

Walimu kuchapwa viboko 11 Replies

Started by Zulekha in General. Last reply by mathias makunguru Oct 13.

mathias makunguru

ngono ya jinsia moja siyo.

Started by mathias makunguru in General Oct 13.

Ellinaza A.Killonzo

BBA REVOLUTION

Started by Ellinaza A.Killonzo in General Oct 10.

raul

mama wa kambo 2

Started by raul in General Sep 30.

mick john

KUFULIA C ISHU

Started by mick john in General Sep 25.

Hardson Sanga

SECEND CHANCE 2 Replies

Started by Hardson Sanga in General. Last reply by Flavia O Mgesi Sep 20.

yusuf mohammed khiranga lumumba

Hapo Cha Cha!!!!!!!!!!!!! 1 Reply

Started by yusuf mohammed khiranga lumumba in General. Last reply by Flavia O Mgesi Sep 20.

Boscow M. Maiso

Tanzanians Life 1 Reply

Started by Boscow M. Maiso in General. Last reply by Bab Kubwa Media Sep 12.

samson justo

nothing than lov

Started by samson justo in Lonely Hearts! Sep 11.

john bart

we can do it

Started by john bart in General Aug 31.

Hussein

wuold like to get to know u 4 Replies

Started by Hussein in Lonely Hearts!. Last reply by Hussein Aug 14.

 

© 2009   Created by Bab Kubwa Media on Ning.   Create Your Own Social Network

Badges  |  Report an Issue  |  Privacy  |  Terms of Service

Sign in to chat!