Bab Kubwa

ikiwa mke wa mtu mtamu hata mume wamtu mtamu lakini kwanini mke wa mtu na mume wa mtu awe mtamu? wakubaliana na msemo huu? kwanini uibe yawezekana kuwa msemo unaesema anayeiba kaibiwa ni kweli na anayeiba ajitayarishe na kuibiwa.

Share

Reply to This

Replies to This Discussion

Kwa kweli usemi wa "mke wa mtu au mume wa mtu ni mtamu" sikubaliani nao kwani siku zote cha kuiba kina kuwa hakina raha maana unakuwa unakula kwa wasiwasi kwani wahofia iko siku mwenye chake atakuja kukukamata. Lakini tu ifahamike ikiwa utaiba basi ujuwe tu kuwa na wewe iko siku utaibiwa kwani "MLA KUKU WA MWENZIWE BASI MIGUU HUMUELEKEA" kwa hivyo ikiwa mtu atakula vya wenziwe basi ajuwe iko siku na vyake vitaliwa tena mara nyingi malipo huwa mazito zaidi kuliko unavyofanya, wakati huo tena linapokuja mkuta mtu inakuwa "MTENDA AKITENDEWA HUJIHISI KAONEWA"

Reply to This

Want i knw is pussy is pussy,penis is penis! i dont knw why people think other pussy is nice and sweet than ur own wifes pussy or ur own Husbands..shesnt good on bed, tell her or hm ,talk to her or him,have discution about it,talk to ur wife or husband before u jump to other sick pussy or penis n get ill.

and another thing is theres no fun anymore,couse while cheating instead of enjoying the sweetness u only think about ,,,,ooh shit if my wife or my husband knws am here shes or hes gonna kill me,so its only fast fast like hens no feelings only to let those things come out n hurt ur family, STOP IT.. if u think u knw better tell her or him wat makes u feel better,teach her or him,watch together hot films in ur bedroom, or when ur husband or wife at work,look how others doing then try later with ur partner..its simple n so easly. but people like to knw hows Monas pussy look like or Davids penis looks like .or only to make people say ooh hes or shes good on bed,every woman wants him or every guy wants her!! fuck u..stop it,its not fun..its shame,discused!! .lol ...we will die all damn!! Read my blog MARRIEGE then u will understand wat i mean..so tht means i dont agree with tht..lol NICE TOPIC RAUL:: LOV IT::

HUGS
LADON

Reply to This

sio mme au mke wa mtundio mtamu ila mapenzi ya wizi ndio matamu

Reply to This

Reply to This

RSS

About

Bab Kubwa Media Bab Kubwa Media created this social network on Ning.

Tovuti bora. Sikiliza mziki wa Bongo popote Ulipo. Pata ladha ya Bongo. Chat, Photos, Videos & The latest and greatest Bongo Flava. Enjoy!



Forum

KAKANANII

ETI JAMANI KWANINI BONGO HAIENDELEI 9 Replies

Started by KAKANANII in General. Last reply by jojo Nov 19.

Zulekha

Walimu kuchapwa viboko 12 Replies

Started by Zulekha in General. Last reply by jojo Nov 19.

raul

mke wa mtu mtamu! 3 Replies

Started by raul in General. Last reply by njikalia mrema Nov 19.

Ummussalaam

Who Cheats More? Men or Women 6 Replies

Started by Ummussalaam in General. Last reply by jayjoe shoo Nov 18.

Said de Markson

UNDUGU MUHIMU

Started by Said de Markson in General Nov 6.

john bart

what a man got to do now:? 5 Replies

Started by john bart in General. Last reply by sarah ibrahim Oct 29.

raul

mama wa kambo 1 3 Replies

Started by raul in General. Last reply by jojo Oct 17.

mathias makunguru

ngono ya jinsia moja siyo.

Started by mathias makunguru in General Oct 13.

Ellinaza A.Killonzo

BBA REVOLUTION

Started by Ellinaza A.Killonzo in General Oct 10.

raul

mama wa kambo 2

Started by raul in General Sep 30.

mick john

KUFULIA C ISHU

Started by mick john in General Sep 25.

Boscow M. Maiso

Tanzanians Life 1 Reply

Started by Boscow M. Maiso in General. Last reply by Bab Kubwa Media Sep 12.

samson justo

nothing than lov

Started by samson justo in Lonely Hearts! Sep 11.

john bart

we can do it

Started by john bart in General Aug 31.

Hussein

wuold like to get to know u 4 Replies

Started by Hussein in Lonely Hearts!. Last reply by Hussein Aug 14.

yusuf mohammed khiranga lumumba

Hapo Cha Cha!!!!!!!!!!!!!

Started by yusuf mohammed khiranga lumumba in General Aug 13.

Robert frank mawalla

Hi.

Started by Robert frank mawalla in General Aug 9.

jmo

jmo

Started by jmo in General Aug 1.

© 2009   Created by Bab Kubwa Media on Ning.   Create Your Own Social Network

Badges  |  Report an Issue  |  Privacy  |  Terms of Service

Sign in to chat!