Bab Kubwa

Sasa nani aliyekwambia kuwa tuko nje wakati uko wajipara humu ndani? " "umemsahau huyo aliyekwita hapo si salma huyo", "mhhn mbona amekuwa namna hivi" "kawaida watoto wa sikuhizi wanakimbilia maisha,yeye ndiye kaniambia mama nimemuona mtu kama nimewahi kumuona kwenye picha za baba",

Akanionyesha ndio nikakwita, "unajua jana ulivyopiga simu nilijua tu huyu mtu ananitambua kwani hukuonyesha kuwa hunijui, ulionekana kama wanifahamu zamani tu, nilimwambia kelvn hapa kuwa huyu mama ananitambua lakini mimi simjui alinibshia",

"Utaisahau vipi sauti iliyokuokoa na kukutoa gizani,,," "hahahaha acha matani lakini huoni kama ni balaa hilo laingia nyumbani kwetu", "hakuna lolote kama utakuwa mtulivu na kuniheshimu kama mama yako, na mimi nitaheshimu kama mtoto wangu hakuna balaa lolote litakalo tokea",

Sasa mbona mzee anataka atuletee aibu nyumbani, huku kakuwekea kila kitu mziki taarabu, wakati home kimyaa kama kuna msiba, kwani haja kwambia tu paka sasa hivi" "laa wala sijui lolote", sifikii kwenu nitafikia kwenye hotel ya amount ulugru 2days, kisha ndiyo nitakuja home kwahiyo mambo yote huko kesho,

"Duh mzee msiri kweli, ok ngoja sisi tuondoke mama salma maana hapa ni umbeya tu uliyotuleta "wewe mtoto huna adabu tuu" "no kesho nitaanza kukuita mama sio leo" hahahaha,haya bye ok ila usimwambie baba kama tulikuja ok,

Tulisindikizwa huku siamini macho yangu wala sielewi ni kitendawili gain hiki chanitokea.. ndugu msomaji mwaka wa kwanza nilipojiunga na chuo ilitokea safari ya kwenda kutembea kishule kuelekea mbeya lakini wakati tunarudi gari liliharibika njiani ( iringa) tulikaa hapo kama siku mbili lakini mimi siku yapili nilitokakutembea wakati nikiwa kwenye mgahawa mmoja,

Mama salma aliingia na kukaa karibu na mimi aliagiza maziwa mtindi, nilijaribu kuomba kushiriki naye mezani hakupinga aliniagizia mtindi tulikunywa na kufahamiana kuwa yeye ni mtu wa songea na yuko njiani kuelekea daressalam kuangalia biasharazake lakini atakaa morogoro kuna ndugu zake,

Niliona zali nilipomuuliza lini anatoka hapo alinijibu kesho yake kwa leo yuko guest house amepanga nilimueleza kisa changu mwanzo adi mwisho na tuka ahadiania kuwa tutatoka sote kesho, na angenipa msaada wa kunifikisha hadi home,

niliporudi barabarani sehemu gari lilipo haribika sikulikuta, nilipouliza wenyeji hapo wakanambia liliondoka tokea asubuhi saa tano, duh ilibidi nirudi kwa mama salma, kwakweli ni mama mkarimu sana sijapata kuona, ilimbidi arudi tena songea tulilala hapo songea na kuhairisha safari yake, akanitaka nipige simu nyumbani kwa mama yangu akawatoe shaka shuleni kuwa niko safi na nitarudi baada ya siku mbili mbele,

sikutaka kufanya naye mapenzi lakini ilinibidi kwani nilihisi kama nalipa fadhila, alinichukua hadi hiospital tukapima ukimwi baada ya kutoka majibu safi hakunificha akanambia kuwa, "sikulazimishi lamek lakini naomba huduma yako kwa siku hizi mbili tu siku fichi nina hamu ya mwaka na nusu sijaonana na mwanamume yoyote,

"Nitajihisi fahari kama utanisaidia kwa hilo plz lamek bt ur free", alisema mama salma, sikuweza mkatalia niliona sitkuwa mtu wa busara nililala naye siku mbili nilijihisi kama niko peponii ukizingatia sikuwahi kulala na mwanamke tokea nije duniani yeye ndiye mwanamke wangu wa kwanza nilipomwambia hivyo alicheka sana kisha akasema,

"Nifahari kwangu kupata mwanfunzi wa kiume katika somo hili usihofu lamek". sasa ndugu msomaji mama salma leo nataka awe mama yangu wa kambo litawezekana kweli hilo, limeshawezekana, tulikuwa tumeshafika nyumbani kwa kina Kelvin tukiwa hatuamni macho yetu, "sasa bwana lamek utafanya nini kumbuka mazungumzo ya jana hasa msemo wa pili ( mtoto bora, mama bora)

Nashindwa kuelewa Kelvin jana pili alitumwa na mama yake kuwa aniulize lini nitapeleka barua ya uchumba, nimemwambia hilo haliwezekani kwa sasa tungoje tu tumalize hii miezi sita ya masomo iliobakia, sasa tena anakuja mama salma lazima atakuwa mama bora tu kwangu kama nitakavyokuwa mtoto bora kwake,sasa sijui unanishauri nini kelvin.

Mama salma (sikudhani) ndio jina lake halisi aliitwa hivyo kutokana na magojwa yaliyomsumbua sana utotoni mwake hadi kufikia atua ya kukatatamaa wazazi wake kama angeishi na kuwa mkubwa kama wengine alipopona walimpa jina la sikudhani badala ya husna,

Sikudhni alitumia umri wake wote katika masomo hakufikiria masala ya mapenzi wakati anasoma,aliona mapenzi na masomo vitu tofauti na wakati alipomaliza aliona bora apate kazi ndio ashiriki mapenzi wakati akiwa na kazi yake nzuri tu wala hatobabaishwa na mwanamume,

Na alipopata kazi akiwa na umri wa miaka 30 hapoalihisi ndoto yake imetimia nipo alipojiingiza katika masla ya mapenzi mume wake wa kwanza mwenye alishangaa alipomkuta sikudhani bikra akiwa na umri mkubwa kama huo wa miaka 31, waliweza kuishi pamoja kwa muda wamiaka 3,

Nakupata mtoto huyo salma lakini kilichowatenganisha yeye na baba salma ni sikudhani alipomfumania baba salma guest na mwanamke wa kazini kwake mumewe baada ya kuambiwa na shoga yake anayefanya kazi na baba salma,tokea hapo hakutaka tena kuolewa alitamani kwanza aishi hivyo hivyo kama mwanaume wa kumtulza sababu anakazi yak na pesa anayo atamtafuta wakati ana haja.

Wakati anakutana na mimi salma alikuwa na umri wa miaka 36 na sasa imebakia miezi miwili atimize umri wa miaka 40,lakini umuonapo huwezi jua kuwa ni mama wa miaka hiyo kwani bado mbichi anayejipenda msafi hana umbo linalochusha a kumuonesha kuwa ni mkubwa kiasi hiko,

Ukizingatia sauti yake nyororo aonheapo na wewe utazani anaibana na kukufanyia makusudi la hasha ndivyo alivyoumbwa,namshukuru yeye sababu ndiye aliyenijulishanini mapenzi na tokea anipe somo hilo sijawahi kulitumia kwamtu mwingine yeyote,

Kwani mpenzi wangu pili tumeahidiana tusifanye hayo hadi tutapofunga ndoa na nimemuahidi hilo kujilinda na kujihifadhi na hilo sasa mwalimu mama salma ataniacha kweli?, nini nifanye iliniweze kuepuka janga linalo nikabili hapo mbeleni kwani nahofia kumkosa mke wangu pia baba,

Sikiliza kelvin mzee akishaoa tu nitamwambia na kumgasi niondoke nyumbani nkaishi mbali bila hivyo yaweza kuwa makuu," " hilo kama unaweza bwana lamek ni jambo zuri jaribu kumuweka chini mzee na kumwambia kuwa unahitajii kuishi mbali na yeye kwanza kutokana na mitihani iliyo usoni,na unahitaji kujisomea na rafiki zako ili uweze kufaulu mtihani".

Ok nitajaribu kumwambia mzee nakuomba kelvin hii iwe siri baina yangu na wewe usijaribu kumdokezea mtu yeyote plz" " usiwe na wasiwasi lamek wanitambua vizuri sana siomgeni kwako best usiwe na hofu na yajua madhara yake ila fanya uhame home mzee anaweza kuja kukukata kichwa mama mwenyewe unamuona alivyonona akwepeki yule",

Hilo itanibidi nifanye juu chini. Tulirudi hadi kwa mzee tulimkuta na wageni ambao wengine tayari tuliokuwa tumewapa taarifa, vipi mmmliza kupeleka taarifa kote,aliuliza mzee, ndio ila tumechelewa hatkuenda kingolwila kwa baba shangazi" ok haina tatizo nimetoka kumpigia simu sasa hivi hapa,

Lamek ! naam! Njoo hapa, kesho harusi itaikia Amount Uluguru hotel tutakaa na mama yako hapo kama siku mbili hivi kisha tutakuja hapa kila kitu tutamaliz hukohuko hapa sittaka fujofujo

kwahiyo magari kesho yatatoka hapa mapema kwenda kuwapeleka wasiopajua hapo hotelini then saa saba mchana tutaelekea kihonda kwenye harusi" sawamzee haina shida lakini mimi si itabidi nibakie hapa nyumbani,hapana atabaki wanawake hapa wewe lazime uje sawa mzee,

kesho ilifika watu walijazana nilishindwa hata kuelewa walitambua vipi kama kuna harusi hapo wengine walinilaumu kwanini sikuwapa habari kuwa mze anaoa,wengine walikuja na kunabia tumepata taarifa wameamua waje kunipa kampani basi mimi nilikuwa wamwisho kutoka hapo kuelekea harusini kwasababu napajua sikutaka kwenda na magari ya foleni,

tulipofika hapo baba alikuwa ananitafuta aliponiona alinita nakuanza kunisema vipi mbona nakutafuta sikuoni ulikuwa wapi lamek hapana baba nilisubiri watu wote wapande kisha mimi nije wa mwisho kwani ya wezekana kuna watu tunhewaacha

ok mama yako alikuwa anakutafuta akuone ebu nenda akaamrishwa mmoja wa dugu wa mama salma anipeleke lakini mzee si nitamuona baadaye kwani sasa hivi huko si kutakuwa na wanaake tupu mimi naona aibu,

alimtuma huyo ndugu a mama salma akamuuizekama anashida ya umuhimu na mimi au hana nikuniona tu, aliporudi huyo mtu akasisitiza na amesema kama anaona aibu ameshawatoa watu yuko yeye tu, " duh kazi ipo tuliangaliana mimi na Kelvin kisha nikaingia ndani Kelvin alinisubiri hapohapo"

hodi! Pita lamek , shkamoo mama marhaba mwanangu vipi zatoka jana salama tu vipi shughuli,shughuli kama unavyoiona imeshakomaa, sasa kwanini umeniita huku wakati unatambua kuwa mimi nina ma aibu ,aibu yaani bado tu hujawazowea wanawake, uajua mimi sinatofuti na wewe kipindi nasoma nikomwanafunzi kwa hiyo nimestopp hayo mambo kwa sasa,

utakuja juta baadaye kama mimi hapa ndoa za uzeeni watu walishajichokea watufata sisi tutafanyaje sikiliza lamek niitaa njue kama utakuwepo kwenye sherehe hotelini nilikuwa sitaki nije kwa ajili yako lakini mzee amenilazimisha lazima niwapo hapo,ilanitatroka nakuomba usimwambie mzee no nataka uwapo unichungie mwanangu wasije wahuni wakampiga,

ok kama nihilo tu mimi ngoja nitke naona wanasubiria haponje waje humu haya nenda tutaonana, ok ,lamek aliita mama salma nam njoo angalia usiache mbachao,,,,, mhhh unatabu wewe kwani hujui kipya kinyemi,,,,,, ila umependeza pia, kwaheri.

Nilitoka kurudi kwa mzee "ennhee vipi umeonana naye ndio mzee amenitaka nimwangalizie mwanawe kipindi chote cha sherehe hasa hotelini" "aaah ok vizur"i, "sasa baba sisi ngoja tuangazeangaze macho kidogo" "lakini imebakia nusu saa usiende mbali" "haina tatizo nilinyanyuka",

Kelvin huyu mama hawezekaniki kama sijahama pale nyumbani ninamtihani mkubwa sana kwanini lamek amekuitia nini alikuwa anataka nimchungie mwanae lakini muongo alitaka kuniona tu unajuamwisho kanambiaje " lamek usiache mbachao…!? Nini aistuka Kelvin na kumalizia kwa{ msala upitao,,}

Umemjibu vipi sasa maana Kiswahili ndio somolako ahh sikumchelewesha nikampiga na methali kipya kinyemi,,nikamuacha anacheka nikatoka,, mhhhn lakini mwalimu wako wa ngono usiseme hivyo Kelvin sitaki hata kukumbuka jinsi alivyonipika maana alivyojua kuwa sikuwahi fanya basi alikuwa yuko makini sana kwenye mapenzi any way tuache hizo story maana ni mama sasa sio mama salma,

Muda ulifika ndoa ilifungwa then tukaelekea hotelini kabla ya kutoka nilimtafuta salma na kumwambia mama yako kakupa ujumbe wowote hapana hakunambia kitu ok alinambia nikwambie uepuka wahuni na magomvi sawa? Sawa kaka Kelvin kwani nawewe waenda hukomimi hata sipajui naenda lakini wewe ongozana tu na rafiki zako tutakutana tu hukohuko,

Salma alkuwa na umri wa miaka10 lakini sijui mwili huu kaupaa wapi maana ameanza nona bado mdogo utafikiri anamiaka 15 hivi,tulielekea kwenye sherehe unajua lamek hii sherehe inaonyesha jinis gain mzee wako alivyompenda mwanamke kwani aingefanya sherehe kubwa namna hii unajua kiasi ngapi hapa zinapotea

Alafu aje asikie kaibiwa tena na mtoto wake wa kumzaa weee hapo balaa lake halitokuwa dogo, mzee lazima apoteze pesa zote hizo mwanamke mwenyewe si umemuona Kelvin anastahiki sherehe kama hii hata ingekuwa kwa siku mbili tu hii shere haifikii kwa alichonacho mama salma,

Kijana naona alikufikisha kinomi paka sasa hujasahau aliyokufanyia nitamsahau vipi wakati ndiye mwanamke wangu wakwanza Kelvin na mpaka sasa sijaona mke mwingine mawazo yote yanaduru kwake tu nifikiliapo mapenzi" "duh hayo sasa matatizo lamekk kumbe hujawahi fanya mapenzi na mwanamke isipokuwa huyo tu paka sasa" "ndio Kelvin sasa kama ivyo pili yuko hatiani jana si umetoka kulala na pili, pili! mbona tuna mkataba wa maandishi kua tutavumiliana paka tutakapo oana,

Kwahiyo siwezi kuvunja huo mkataba Kelvin alicheka na kunambia hiyo ni mikataba hewa lamek hata mtoto mwenyewe atakuwa anakushangaa kumkubalia sharti gumu kama hilo na ndio maana alikukubalia haraka kuja kulala na wewe sasa mpigie simu mwambie aje harusini haraka iwezekanavyo na umwambie wataka kuuvunja mkataba huo wa maandishi kwa maslahi yako lamek bila hivyoo pili utamkosa mama salma pia baba yako atamkosa.

Kweli nilifanya kama alivyonishauri kelvin haraka sana pili aliwasili hotelini hapo yeye na rafiki yake tina duh sasa itabidi umchukue tina mimi niongee na pili "haina tatizo" "nilimchukua pili na kutafuta sehemu ya kiza hapo hotelini niliagiza koktel na pizza ya kuku"

Sikiliza pili nasikitika kukueleza haya lakini sina budi kuyasema kuwa tokea hutoke asubuhi sikuwa na raha kabisa nahisi kama nakudhulumu kama hujanidhulumu tokea tuanze urafiki mimi na wewe yakaribia ni miaka miwili na nusu sasa sidhani kama kuna mmoja wetu anashaka na mwenzie, au kuna shaka yeyote kuhusu mapenzi ytu ya uaminifu?, niliuliza

Hapana lamek vipi kwani mbona hivyo wanistua, usishtuke pili nashindwa kuelewa lakini uvumilivu umenishinda kabisa pili, kuhusu ulemkataba wakuto fanya mapenzi unaonaje kama tukiubatilisha mpenzi, mimi nakuamini kama unavyoamini ila kama utakuwa huniamini,

Mimi nakuamini lamek lakini mama sikuzote huniambia siri ya mimi kuwapo na wewe ni hiyo ya kutofanya mapenzi, kwani ukishalipata unalolitamanii utaweza nikimbia kwa urahisi bila kurudi,

kwanini usivumilie kama ulivyoniambia jana kuwa miezi sita sio mingi, naamini tumalizapo tu tutafanya haraka kuoana sababu kila mmoja wetu anamtamani mwenzake kama mlachumvi anavyotamani maji ya kunywa,

Hapana pili kiufupi nimeshindwa kuvumilia, pia bado nakupenda lakni hivi nitapiga kunyeto hadi lini wakati wewe pili mpenzi upo hunionei huruma dear,nini watumia kunyeto!, wewe lamek mbona ulikuwa hunambii siku zote hizo, ni hatari kubwa hiyo, unaweza kuathirika sio nzuri hiyo tabia,

Sasa sikiliza mimi niko tayari kwa ombi lako mpenzi lakini nakuomba umwambie baba yako kuwa umepata mchumba unayempenda na unahitaji kuleta barua ili umalizapo shule unioe mungu akipenda kwani ukiwa umeleta barua hata mama ataridhika hatokuwa na wasiwasi lakini akisikia sasa nimeanza kukupa bila kuleta barua atanigombeza sana.

Nimekubali ombi lako mpenzi na nimefurahi kusikia hivyo nakupenda pili sio kama nataka kukuharibia malengo yako mimi na wewe tumetoka mbali walitambua hilo mpenzi, nitafanya kama utakavyo na nitakupa jibu, sasa baba yuko hapa siku mbili ningependa hizo siku tuwe sote nyumbani simaanishi uje tufanye mapenzi hapana pili isipokuwa kila niwapo karibu na wewe nahisi amani dear unajua sina mwingine mawazoni tofauti na wewe, nitaangalia kama nitapata wasaa nitakuja tu dear usihofu kwahilo niko wako kama ulivyokuwa wangu ilove you, ilove you too dear,

moyoni nilihisi kama nilishashinda hilo tulinyanyuka na kutembeatembea hapo hotelini bustanini mara nilimuona salma kwenye watu wengi, ngoja nimwite salma unajua mama yake amenipa kazi ya kumchunguza sivibaya tukiwa naye.

Salma ndio nani huyo? "mtoto wa mama wa kambo", "ok nenda", nilienda kumchukua salma na kumtaka aje tukae sote kama hatojali alinijibu "mimi nilikua nakutafuta wewe sikuoni, mama alinambia nikutafute nisikae na wewe mbali". "ok twende huku basi", tulitoka hadi kwa pili nilipomuacha.

"Pili huyu ndiye salma mtoto wa mama", "salma huyu pili rafiki yangu tunasoma shule moja darasa moja dawati moja amekuja kwenye harusi", "shikamoo pili", "marhaba salma hujambo" "sijambo"

"umependenza kweli yaonekana hata mama kapendeza" "ngoja nikuonyeshe nina picha yake hapa kwenye mp4", "huyu ndiyo mama yako! mzuri jamani Kweli hapa lamek baba amepata mama", nilinyamaza kimya sikumjibu,

"hivi huyu
Rafiki yako ni mchungaji au? Aliuliza tina. Kwanini unsema hivyo, " maana stori anazonipa pili siamini kama ni kweli lakini pili hawezi nitania kwa maswala kama hayo, kwani pili anakwambia nini? Aliuliza kelvin.

Wanamiaka miwili paka sasa lakini pili hajui urefu wala upana wa ndizi ya lamek, ndizi!, aliuliza kelvin kama hakusikia, hahahahah! Wanichekesha tina, kwani wewe nampenzi wako mwakutana mara ngapi kwa mwezi?, kwa mwezi uliza kwa wiki mwezi mbona mbali sana.

Lakini kwa sasa hayupo niko napata tabu kweli, amekwenda wapi ameenda kimasomo (usa) mwezi wa jana, duh kweli pole nafikiri hapo si chini ya miaka 4 kiuchache lazima akija kuipima tena itakuwa fupi maana wakuirefusha upo mbali,

Ahahhaaa hakuna hilo wanume hawaaminiki, "kwani sio mwaminifu kwako?" "sifahamu hilo lakini maadamu yuko mbali siwezi kumuamini wakati alipokuwa hapa nilikuwa na muamini sababu akihitaji anapata sasa huko nani wakumpa kama si wengine!?

No tina inabidi kuaminiana ili muweze kulilinda penzi lenu, bila ya uaminifu mwaweza mwaka msifikishe mkakimbiana, "sasa mimi nitajua vipi huko aliko kama hatoniibia? "Hiyo haimaanishi kuwa na wewe umuibie", nikweli kelvin lakni kwa jinsi tulivyozoeshana siwezi kuvumilia kama yeye alivyokuwa hawezi kuvumilia huko aliko miaka yote hiyo.

Sasa hayo ndiyo wanayoyaogopa lamek na pili yasije kuwakuta kama yenu baadaye, "hapana kelvin miaka miwili na nusu basi isiwe kwa wiki hata kwa mwezi, mmoja wao akipata wa kumuonjesha hayo sidhani kama watafika kwenye ndoa", thanks tina kwa stori zako natamani nikualike kwenye dinner kesho lakini naogopa jamaa anaweza kuoteshwa huko aliko,akakugea talaka nikaonwa sababu,

Kama unataka kupata diner mimi nakualika chai ya asubuhi kama hutomind karibu morogoro hotel kesho asubuhi saa nne, natamani kuja lakini kama nilivyokwambia shemeji uenda kaweka ma spy wanakupiga chabo,

hello tina naona wampa darasa kelvin, nilikatisha maongezi yao na kuwaomba tuondoke nyumbani kwani muda ulikuwa umeshapita,Nilimrudisha salma kwa mama yake na kumuaga mzee.

Baada ya miezi sita.

Tayari nilikuwa nimeshamaliza masomo chuoni mzumbe, mimi na pili tumeshakuwa wachumba wa halali kwani niliweza kumshawishi mzee kupitia mama wa kambo na kuweza kupeleka barua, ilikuwa siku ya j/pili nimerudi usiku nikiwa nimechoka nimetoka kusaka kazi.

Nilimkuta mama wakambo yuko macho sebuleni huku amevaa mavazi ya kulalia tu. Niliingia bila kupiga hodi kwani nikawaida yangu nikichelewa sioni sababu ya kuwasumbua wazee, "vipi lamek karibu naona umetoka kwa pili", "hapana mama nimetokea kwa kelvin pili sina hamu naye kwa sasa hadi nipate kazi kwanza maana siunajua ananidai mahari ili tuweze funga ndoa".

Sasa nilikuwa nakusubiri hapa nikueleze wajua kama baba yako hayupo wiki yapili sasa amesafiri kikazi namimi kulala peke yangu siwezi waonaje tukilala sote hadi hapo mzee atakapo rudi?,sijakuelewa mama wasemaje! Niliuliza kama sikumsikia,

Hukuniskia lameck au nasema hivi tulale sote hadi baba yako atakapo rudi kulala peke yangu naogopa, "mama unaogopa kweli au nasababu nyinine maana naweza kwenda kukuchukulia mtoto wa shangazi sauda kuja kulala naye hilo halina tabu",

Kumbe umeshakuwa mkubwa lameck nashukuru kwa kunitambua sihtajii mtu wa aina yoyote tofauti na wewe lameck, "samahani sana mama hilo kwa sasa ni gumu unajua tumeishi vizuri sana kipindi hiki chote cha mezi sita umenifanya nisahau tulipotoka hata kukuonea aibu,sasa huko unapotaka kunipelea sio kuzuri mama u haveto think twice.

Wakati anaongea na mimi {mama wakambo} tayari yuko karibu na mimi na kunishikashika mikono akinambia " usifikiri siku zote hizi nimekaa kimya sikumbuki wema wako ulionifanyia kipindi nina shida,hapana lameck sik msahaulivu namna hiyo, isipokuwa upya wa ndoa tu,lakini nakukumbuka sio wewe tu bali tuliyoyafanya siku zile mbili lameck",

Amini usiamini niwapo na baba yako mchezoni lazima nikufikirie wewe ndipo najihisi raha, niko tayari kukurithisha mali zagu lameck kama utanikubalia niwe wako wa dhati lakini uachane na pili ."nini mama salma! tafadhali mbona wataka nitia mashakani, samahani sana nakuomba mama nenda kalale bila hivyo nitaenda lala nje kwa kelvin".

Nilinyanyuka na kuingia chumbani mwangu, huku nikifikiri maneno ya Pili "mtoto bora mama bora", baada ya dakika 15 nilisikia mlango unagongwa, "nani ?" nilijifanya kuuliza "chakula kipo hapa mezani haya ahsante nakuja".alikua mama wa kambo, nilitoka kula chakula yeye akiwa ndani chumbani.

Siku hiyo ilipita nilijua yameisha, sikuona budi kwenda mshauri rafiki yangu kelvin, "lakini sasa kama atakurithisha mali zake inabidi ulifikirie mara mbli hilo maana maisha yenyewe si unayajua yalivyo magumu, ima utafute njia ya kuzipata hizo mali huku unae pili au upate mali na kumkosa pili",

Tatizo la kelvin naye siku zote alikuwa mtu wa maslahi mbele aonapo jambo la fedha hakai nyuma, na hata wanawake ambao hawana pesa yeye sio hobiii yake, "sikiliza kelvin mimi kuachana na pili ni jambo gumu, kumbuka tayari tulishavunja mkataba wa kutofanya mapenzi kwa ahadi ya kuwa nitamuoa sasa nitakapo muacha nitawza sababisha mengine yasiyotarajiwa".

Sasa kama unaogopa hilo fanya hivi mwambie mama kuwa umefikiria umeona kuwa uko tayari kumridhisha, lakini hutoweza kumuacha mke wako pili, kama ataweza kukubali hilo basi utakuwa umewini lakini inabidi akuhakikishie hizo mali kwanza ndipo uanze kulala naye".

"Hapana kelvin hilo mimi siwezi unajua nafikiria nini hapa inanibidi nihame tena nimpigie mzee kuwa nimepata kazi huenda hatonikuta nyumbani nitafute sehemu ya kwena kujibanza kama hutonikaribisha kwako sawa".

Wewe kuhama haitokuwa busara kwani mzee hata yeye ukubali hiyo nafasi yausiku ni kwasababu wewe upo nyumbani anakuamini utamlina mama yako hatokuruhusu toka kwa sasa,isipokuwa nakushauri u know everry one has a deams in aworld, sasa kama ur dream is only Pili jaribu kukomaa hapo home paka mzee atakaporui tutapata jibu tu.

Hapo umenena lakini siunawajua wanawake kwa vitimbi naogopa asijenibaka chumbani, akikubaka hapo sio kosa lako hiyo ni emegence lakini bado msimamo wako kuwa huwezi kuachana na pili,

ila angalia wazee siku zote wanabezi kwa wanaake zao kwa hiyo lolote atakalokufanyia usithubutu kukimbilia kusema kwa baba anaweza kukubadilikia ghafla, sababu wanawake kwa kupanga visa wanafahamika usije kukosana na mzee wako mapema yote hii.

Sasa mimi ngoja niende aboud maana niliahidiwa niende leo nikasikiizie na kuoana na manager, ok mimi nipo napumzika baaadaye ukiwa kurudi nijulishe naweza kuja home kumsalimia mama ila ningeipata mimi hiyo nafasi wala asingekohoa tungejibaza humohumo na baba" hahah kija huna adabu kabisa powa baadaye.

Nilitoka kuelekea kwenye mizunguruko yangu lakini haikuwa kamili kama nilivyoipanga nilirudi numbani nimechelewa kama kawaida yangu,nilipoingia nilimkuta mama amelala hapo sebuleni huku akikoroma ikionyesha amelala hapo muda tu.

Mama ,,mama,,mama,, enheee ,nani ,mimi lamek nimerudi mbona umechelewa leo umenitia wasiwasi bado kidogo nimpigie simu baba yako", 'laa usifanye hivyo siku ukiona nimechelewa mpigie simu kelvin kwanza then pili waulize' "sasa nilikuwa nafikiri kitu kimoja kesho nataka unipeleke mjini nimeagizia gari lije linichukue hapa saa saba mchana".

"Haina tatizo mama hata hivyo kesho sina mizunguuko nilipanga nipumzike home kwahiyo sivibaya kama nitakupeleka mama yangu" "thnks lamek kila unapokuwa mtiifu wasababisha nijione mkosefu mbele yako", "hapana mama mimi ni mwanao kama sijamfanyia utiifu mama nitaufanya kwa nani!.

Naomba nikuulize lamek jana niliyokuambia ulienda kumwambia rafiki yako kelvin au pili,?" siwezi kukudanganya mama, siwezi kumwambia pili mambo kama hayo lakini sikuona ugumu wa kumwambia kelvin, kwani mambo kama hayo yanaitaji upate mshauri nilikufikiria sana mama lakini nilishindwa kupata jibu nikatafuta msaada wa ushauri.

Sikiliza lamek kama ulienda kumwambia rafiki yako huku wajua jibu atakalo jibu hapo haukwenda kuomba ushauri ila kumgea taarifa ya yaliyotokea, na kama haukupata jibu linaloendana na akili zako basi hakuna faida ya ushauri ulioutaka isipokuwa umeenda kuongeza ugumu wa tatizo, sasa jibu ulilopata ni sahihi kwako au kinyume na unavyofikiria?".

"Vyovyote iwavyo mama lakini siku zote binadamu awapo nakitu moyoni inabidi akitoe hatakana porini, au kuongea na wanyamaa hapo atajiona nafuu, maneno yakaapo moyoni yanauma pia huchoma kama mwiba hadi yatakapo toka, iwe nimepata jibu au sikupata lakini nimeweza kulitoa lile lilikuwa linanisumbua, kisha mimi na kelvin hauna haja ya kumtilia shaka sababu tukopete na kidole.

Nakuomba lamek kama uko unaniheshimu kama mama yako plz usijaribu tena kutoa lile baya au zuri nitakalokufanyia mimi, watu hawaaminiki rafiki yako siku zote ni moyo wako tu bora utafute vitabu au usikilize nyimbo uwapo na kitu moyoni kuliko kwenda kumtemea mtu, plz lamek usinitolee tena makovu yangu nje, alisema huku akilia nilimuonea hurua na kumsogelea ili kumtuliza.

I promise you mama i never say again to any people nakuomba nyamaza sikufanya hivyo kwa ajili ya kukudharaulisha,au kwa ajili ya kukuvunjia heshima mbele ya kelvin nilikuwa natafuta jibu muafaka la ombi lako,

sababu hata mimi unanisumbua akili watambua kuwa wewe ndio uliyenifundisha kuona na kuhesabu nyota kusahau hilo ni vigumu na ulinijenga ili nikuone mwalimu mwema na ndivyo ulivyo moyoni mwangu, lakini nashindwa kutegua kitendawili hiki kutokana na kizuizi baba.

Nakuomba sitaki uachane na baba angalau naweza kuvumilia mateso ya kukukosa wewe ,siku zote nilikuwa nafikiri kukutafuta uliko kuja kukupa ahsante yako na kukutunuku shahada ya ualimu, lakini vipi nitakutunuku shahada hiyo bila kujua kuwa mwanafunzi wako nimefikia wapi na nimeiva vipi, nakuomba kama unaweza vumilia mama salma ni bora zaidi kuliko tukiingia katika darasa hili gumu hatutoweza kutoka. FATILIA HADITHI HII ILI UJUE MWISHO WA MAMA NA MTOTO WA KAMBO WAMEISHIA WAPI.

INAENDELEA

Share

Reply to This

About

Bab Kubwa Media Bab Kubwa Media created this social network on Ning.

Tovuti bora. Sikiliza mziki wa Bongo popote Ulipo. Pata ladha ya Bongo. Chat, Photos, Videos & The latest and greatest Bongo Flava. Enjoy!



Forum

Ummussalaam

Who Cheats More? Men or Women 11 Replies

Started by Ummussalaam in General. Last reply by BintiFy 9 hours ago.

KAKANANII

ETI JAMANI KWANINI BONGO HAIENDELEI 11 Replies

Started by KAKANANII in General. Last reply by Arnold K. T. K. Dec 7.

Zulekha

Walimu kuchapwa viboko 12 Replies

Started by Zulekha in General. Last reply by jojo Nov 19.

Said de Markson

UNDUGU MUHIMU

Started by Said de Markson in General Nov 6.

john bart

what a man got to do now:? 5 Replies

Started by john bart in General. Last reply by sarah ibrahim Oct 29.

mathias makunguru

ngono ya jinsia moja siyo.

Started by mathias makunguru in General Oct 13.

Ellinaza A.Killonzo

BBA REVOLUTION

Started by Ellinaza A.Killonzo in General Oct 10.

raul

mama wa kambo 2

Started by raul in General Sep 30.

mick john

KUFULIA C ISHU

Started by mick john in General Sep 25.

Boscow M. Maiso

Tanzanians Life 1 Reply

Started by Boscow M. Maiso in General. Last reply by Bab Kubwa Media Sep 12.

samson justo

nothing than lov

Started by samson justo in Lonely Hearts! Sep 11.

john bart

we can do it

Started by john bart in General Aug 31.

Hussein

wuold like to get to know u 4 Replies

Started by Hussein in Lonely Hearts!. Last reply by Hussein Aug 14.

yusuf mohammed khiranga lumumba

Hapo Cha Cha!!!!!!!!!!!!!

Started by yusuf mohammed khiranga lumumba in General Aug 13.

Robert frank mawalla

Hi.

Started by Robert frank mawalla in General Aug 9.

jmo

jmo

Started by jmo in General Aug 1.

raul

kitendawili mapenzi

Started by raul in General Jul 17.

Hardson Sanga

SECEND CHANCE 1 Reply

Started by Hardson Sanga in General. Last reply by Hardson Sanga Jul 14.

© 2009   Created by Bab Kubwa Media on Ning.   Create Your Own Social Network

Badges  |  Report an Issue  |  Privacy  |  Terms of Service

Sign in to chat!