Bab Kubwa

Tovuti bora. Sikiliza mziki wa Bongo popote Ulipo. Pata ladha ya Bongo. Chat, Photos, Videos & The latest and greatest Bongo Flava. Enjoy!

Music

Events

BabKubwa.com

BONGO REC is still Dropping NEw Track.. Listen

Sikiliza Track mbili mpya kutoka bongo Rec. Q chiller ft Ngwair - Naanzaje naanzaje Nurudia Ft Langa - Nampenda sana. nampenda-sana

BONGO RECORDS BACK TO THE GAME…

Studio Ya BONGO REC imeludi kwa kasi wakiwemo maproducer wampya hatari Producer Q and Antonia ndani ya Bongo Rec kuna vichwa ambavyo viko chini na kudondosha track za nguvu. Sikiliza baadhi ya track ambazo ni mpya kutoka bongo REC Sikiliza Feelings - Nikki Wa pili feelings Sikiliza Usikatae Pipi ft Ngwair usikatae Sikiliza Loose Your head - Langa, Q, Majani [...]

NGWAIR to Drop New Song Ft FID Q called CNN

Msanii wa kizazi kipya Albert Ma-ngwair Ametoa Wimbo wake mpya unaoitwa CNN ambayo amemshirikisha Fid Q. Wimbo huo Umetengenezwa katika studio za Bongo Records na producer Q. Sikiliza CNN na toa maoni yako. CNN

Mabeste

I’d like to introduce our new signed artist from Mombassa-Kenya. His name is MABESTE,and dudes, he’s got talent. Everything you ever need from a hip hop artist he’s got it, style, swagga, speed and the words to back it up. He would never cease to amaze you on any given Sunday and these qualities are [...]

Beezy-When We Ride ft. K-Nel (TV Verison)

VIDEO MPYA KUTOKA KWA BEEZY WHEN WE RIDE. PLEASE CHECK EM OUT AND DROP YOUR COMMENT.

Mwana FA @ Rip Coventry 2009

MWANA FA LIVE ON THE STAGE “RIP COVENTRY AFRO JAM EXPERIENCE” FOR THE GROWN & SEXY ✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦ SATURDAY 04TH JULY 2009@ PALMS CLUB116 FAR GOSFORD STREET .COVENTRY.CV1 2JT* ✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦ ENTRY: FREE FOR LADIES ON GUEST-LIST BEFORE MIDNIGHTDOOR: £10TIME: 10PM TILL 4AM (EARLY ARRIVAL ADVISED) ✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦ THE VERY BEST DJ’S► DJ RULE► FAFA► DJ SHIRI► DJ COSTA► LIBERT FBT SOUND► DEXTER [...]

Mwana FA - Mabinti

CHORUS Yaani shwari hamna shari Mi na mabinti damdam, kweli kweli Sababu zipo wazi mwenye macho aone enhh! Wengine ndani jeans wengine ndani ya skirt Wengine mini au magauni ya vitambaa vyepesi Mradi istizahi wanipore uhuru wa nafsi Weledi wa ajabu kwenye mambo ya chini ya paa Kuna werevu wa ajabu kwenye mambo mengi bar Hawanipi shida sio balaa Na zaidi nawapenda mabinti watundu Mapozi ya [...]

Mwana FA - Bado Nipo Nipo

INTRO… Wagwan Blood… the personality change,…hii ya leo hii! Hermy… CHORUS MwanaFA unaoa lini(bado nipo nipo kwanza) Unasema(bado nipo nipo sana) * 2 MwanaFa unaoa lini(bado nipo nipo mwana) Wa kuoa ntakuwa mimi mwana!!? VERSE 1 Japo natokea Tanga mapenzi yalipozaliwa Sijivishi ufundi nikajifanya nayajua Mi nna akili timamu naona tu mnavyoyarukia ukiniona na demu mzuri haimaanishi ndio ntamuoa napata wakati mgumu washkaji wanapolia kwa uchungu kwani na mi [...]

Mwana FA ft Lady JD - Alikufa kwa Ngoma

VERSE I Hakuonekana na binti hakuwahi kuiasi dini Mfuasi mzuri wa maadili lakini alikufa kwa ngoma Aliwarudisha waliopotea akawapa tiba mbadala Na adui mkubwa wa zinaa lakini alikufa kwa ngoma Najaribu kumjengea picha mshkaji alie kalala ndani ya futi 6 Namkumbuka mtaani mtaani alipokuwa anakatisha Na mara kadhaa maskani washkaji ungemkuta Usingedhani ana ngoma machoni alivyokuwa mwema (alivyokuwa mwema) Mzuri, mtanashati aliyewaza kabla ya [...]

L.B.T to drop New Joint Called Nimechomoka - Listen Tha song

Sikiliza nyimbo Mpya ya L.B.T and Drop Ya comment nimechomoka

Recent Blog Visitors

House of Glamour - Marqee and Bouncy Castle Hire

Email: info@houseofglamourtz.com
Website: www.houseofglamourtz.com

House of Glamour Hire,
Means Business and Always Delivers!!
Find more photos like this on Bab Kubwa
 

Members

  • Don Gillsant  Mlaseko
  • Joan Jonsen
  • Lulu Nyeusi
  • THANIE ALI
  • Prayant Kasiti
  • Aaron Omary Shiganga
  • Yusa Imori
  • Ikunda Makule
  • TK
  • sherelle armstrong
  • Freddy Macha
  • N@$Ra <> Mz-xClu$ivE
  • serah daisy
  • Arnold K. T. K.
  • James Odera
  • clarisse yamfa
  • Beezymusic
  • asmeh mnende
  • Zulekha
  • Hasheem The Dream
  • Chidi Beenz
  • Michael
  • chaonasinalo
  • Hermosa
  • Faryda
  • michuzi
  • BANTU RECORDS

Chat

Sign up to chat on this social network!

Sign Up

Latest Activity

3 minutes ago
Michael added 2 songs
4 minutes ago
Karibu babkubwa we mtoto. M x
1 hour ago
Michael and LEXALINE are now friends
1 hour ago
Lulu Nyeusi is now friends with Felix KOSAMU and Fadhili Gulam
2 hours ago
LEXALINE joined ralph's group
A place for Tour Guides, and past visitors to share experiences and ideas. Also a "must visit" for those planning or considering a visit to Tanzania.
3 hours ago
M-kubwa updated their profile
3 hours ago
Word's born!
4 hours ago
I`m In!!
4 hours ago
Mesh Boi and LEXALINE joined ralph's group
4 hours ago
LEXALINE updated their profile
4 hours ago
NAONA IMETULIA
5 hours ago

Who's on BabKubwa.com ?!

 
 

About

ralph ralph created this social network on Ning.

Create your own social network!

Forum

KAKANANII

ETI JAMANI KWANINI BONGO HAIENDELEI

Started by KAKANANII in Uncategorized 5 hours ago.

njikalia mrema

Lyf

Started by njikalia mrema in Sample Title Jul 3.

Samtaar

samtaar- HARUSI NDANI YA CLUB 1 Reply

Started by Samtaar in Uncategorized. Last reply by KAKANANII 5 hours ago.

asnah boss

hi

Started by asnah boss in Sample Title Jun 17.

ralph

New Look Bab Kubwa - any feedback or suggestions? 8 Replies

Started by ralph in Sample Title. Last reply by sulaiman Jun 27.

ralph

Somalia: Coast Guards or “Pirates” 2 Replies

Started by ralph in Sample Title. Last reply by randy short May 2.

legend

Whats LOVE 1 Reply

Started by legend in Uncategorized. Last reply by Zulekha May 25.

mike boss

nimuoe yupi 2 Replies

Started by mike boss in Uncategorized. Last reply by raul Jun 5.

ivyinho

hiiiii

Started by ivyinho in Uncategorized Apr 18.

Mohamed

ulaya 1 Reply

Started by Mohamed in Uncategorized. Last reply by Zulekha Apr 11.

Blog Posts

ralph

Michael Jackson :: Morning’s End

Posted by ralph on June 26, 2009 at 6:00pm — 2 Comments

ralph

Facebook Swahili version launched

Posted by ralph on June 15, 2009 at 9:09pm

ANWAR OMAR AHMED

Golden Words

Posted by ANWAR OMAR AHMED on June 15, 2009 at 6:23am

Joel  Laizer

Hi Friends

Posted by Joel Laizer on June 1, 2009 at 2:36am — 2 Comments

ralph

Will Africa join broadband revolution?

Posted by ralph on May 27, 2009 at 6:09pm — 2 Comments

Baby Vicky

INDEPENDENT WOMAN

Posted by Baby Vicky on May 20, 2009 at 11:29pm — 3 Comments

ralph

Will the Tanzanian Golden Boy Shine This Saturday?

Posted by ralph on May 14, 2009 at 12:01am

ralph

Pipi - Njia Panda ndio Imenitoa

Posted by ralph on April 28, 2009 at 11:43am — 3 Comments

ralph

This Week on Bab Kubwa! Back to Work!

Posted by ralph on April 24, 2009 at 11:22am — 2 Comments

Badge

Birthdays

Birthdays Today

Birthdays Tomorrow

PEOPLE VISITED


web counter html code
 

© 2009   Created by ralph on Ning.   Create Your Own Social Network

Badges  |  Report an Issue  |  Privacy  |  Terms of Service